LIVE | Urais 2020: Membe alimpua Rostam Aziz, amwambia asijifanye mkristo kuzidi Warumi
10 video

Kwanza TV: LIVE | Urais 2020: Membe alimpua Rostam Aziz, amwambia asijifanye mkristo kuzidi Warumi

Loading...

Published on: Friday, May 17, 2019

LIVE | Urais 2020: Membe alimpua Rostam Aziz, amwambia asijifanye mkristo kuzidi Warumi

Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bernard Membe amesema anapata kigugumizi kumjibu mfanyabishara Rostam Aziz kuhusu suala la kugombea urais 2020 huku akisema kwa hadhi waliyofikia wanapaswa kuzungumzia zaidi masuala ya kitaifa hasa suala la uchumi.Katika mazunguzo yake na waandishi wa habari mara tu baada ya kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ambako kesi yake ya madai dhidi ya Cyprian Musiba na wenzake wawili ilikuwa ikisikilizwa leo, Membe amesema Rostam hapaswi kuzungumzia mambo yanayomhusu mtu binafsi.

#BernardMembe #Tanzania #Membe #RostamAziz #CCM #Musiba #Chama cha Mapinduzi

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: "Patashika bomoabomoa ya stendi ya Mwenge"
https://www.201tube.tv/watch/DOWhrBgV7l8
-~-~~-~~~-~~-~-

Source: https://youtu.be/cpi4Tvn2zp0

Show more

Comments