MAGOLI YOTE: SIMBA SC 3-0 MTIBWA SUGAR (TPL - 16/05/2019)
10 video

Azam TV: MAGOLI YOTE: SIMBA SC 3-0 MTIBWA SUGAR (TPL - 16/05/2019)

Loading...

Published on: Thursday, May 16, 2019

MAGOLI YOTE: SIMBA SC 3-0 MTIBWA SUGAR (TPL - 16/05/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya leo kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam.

Walioitafuna miwa ya Mtibwa kwenye mchezo huo uliokuwa mzuri na wa kuvutia, ni John Bocco dakika ya 33, Clatous Chama dakika ya 48 na Emmanuel Okwi dakika ya 56.

Ushindi huo umefanya Simba ifikishe pointi 85 na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwaacha Yanga kwenye nafasi ya pili wakiwa na pointi 83 wakati Mtibwa Sugar wakisalia kwenye nafasi ya tano na pointi 49.

Source: https://youtu.be/MS8otU85N2s

Show more

Comments