Hakuna siri Tena! Kumbe hii ndo Sababu ya Mbunge wa CCM Kutumbuliwa na Spika Ndugai, Rais Atajwa
10 video

Gilly Bonny Tv: Hakuna siri Tena! Kumbe hii ndo Sababu ya Mbunge wa CCM Kutumbuliwa na Spika Ndugai, Rais Atajwa

Loading...

Published on: Thursday, May 16, 2019

Hakuna siri Tena! Kumbe hii ndo Sababu ya Mbunge wa CCM Kutumbuliwa na Spika Ndugai, Rais Atajwa

Taarifa za Kuchapishwa kwenye mtandao wa Kijamii Zimeponza STEPHEN Masele, Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) Ambaye ametumbuliwa jana na spika wa Bunge Job Ndugai licha ya yeye kusema hana tabia ya kueleza jambo kwa namna anavyopenda mtu isipokuwa kwa uhalisia wake.

CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.

Source: https://youtu.be/0tR_2UIuhoU

Show more

Comments